Habari Kuu:

    Hakuna Habari kuu kwa sasa


Mhe. Rahma Kassim Ali
Waziri Wa Wizara Ya Ujenzi, Mawasiliano Na Uchukuzi
Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Uchukuzi wametiliana saini Mkataba wa Mashirikiano wa Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege - Zanzibar na Kampuni ya DNATA ya Dubai iliyofanyika Ikulu - Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Nd. Amour Hamil Bakari (kulia) akisaini Mkataba wa maridhiano ya Viwanja vya Ndege na Kampuni ya DNATA kutoka Dubai
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali akizungumza wakati wa hafla wa Utiaji sain uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar
Mhe.Rahma Kassim Ali akikabidhiwa zawadi na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) Nd. Justina Mashiba baada ya kufanya ziara ya kutembeleya Ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote zilizopo jijini Dodoma.


Amour Hamil Bakari
Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Ujenzi, Mawasiliano Na Uchukuzi
Historia
Hakuna habari za Historia