Rudi
BANDARI YA MANGAPWANI
Harakati za Ujenzi wa bandari ya Mangapwani zikiwa zinaendelea ambapo Serikali inakusudia kuhamishia baadhi ya huduma katika bandari hiyo ikiwemo bandari ya mafuta, Kichele na mizigo mbali mbali.