Rudi
Ujenzi wa Barabara chake chake- Wete
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea na mchakato wa Ujenzi wa Barabara chake chake- Wete yeneye urefu wa Kilomita 22.1 ambapo hatua za matarisho ya ujenzi zinaendelea ikiwemo kuondosha miti katika eneo itakapopita barabara hiyo.