Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php73/sess_246926601ed6e7642dba96a203bc6539, O_RDWR) failed: No space left on device (28) in /home/wumuu/public_html/include-main-menu.php on line 2

Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php73) in /home/wumuu/public_html/include-main-menu.php on line 2
WUMU - Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi
Wizara Ya Ujenzi Mawasiliano Na Uchukuzi

Baruapepe za serikali

Baruapepe za staff

Mfumo wa Africhip

info@moic.go.tz

+255 24 294 1140

| Ingia kwenye paneli


Mhe. Mhe. Dkt Khalid S. Mohamed
Waziri Wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

Habari zilizopo

Fungua Zote
Image

UZINDUZI WA BARABARA

+

29-01-2025 10:01:28

Makamo wa pili wa Raisi wa Zanzibar Mh. Hemed Suleimani Abdullah amezindua rasmi barabara itokayo Mwera polisi hadi kibonde mzungu inayotumiwa na wananchi wa eneo la mwera polisi, gudini, Misufini, kibirikani hadi kibonde mzungu yenye urefu wa kilomita 6.10 Aidha Mh. hemedi amesema miundombinu ya barabara ni sekta muhimu kwa jamii kwani ndio inayokuza uchumi katika taifa letu hivyo wananchi wanapaswa kuitunza vyema miundombinu hio. Kwa upande wake Waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi Dokta Khalid Salum Mohammed amemshukuru Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi dk Hussein Ali mwinyi kwa kuleta mafanikio makubwa katika sekta ya barabara kwa kujengwa barabara zenye viwango vya lami mijini na vijijini. Katibu mkuu wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi Dokta Habiba Hassan Omar ameeleza kuwa barabara za ndani zitaendelea kujengwa kwa unguja na pemba ambazo zenye urefu wa kilomita 275.9 ambapo gharama za ujenzi wa barabara hizo ni Dolla za kimarekani million 80 na laki tatu na muda wa ujenzi wa barabara hizo ni miezi 40.

Image

UZINDUZI WA BARABARA

+

29-01-2025 10:01:56

Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Raisi Katiba Sheria Utumishi Na Utawala Bora Mh.Haroun Ali Sleyman Amesema Barabara Zinazoendelea Kujengwa Zitasaidia Kurahisisha Usafiri Na Kukua Huduma Za Uchumi Kwa Wananchi Na Taifa Kwa Ujumla . Ameyasema Hayo Katika Uwekaji Wa Jiwe La Msingi Barabara Ya Muungano ,Jang'ombe Miembeni Kidongo Chekundu Mental Hospitali Zenye Urefu Wa Km 4. 89, Amesema Serikali Inaendeleza Mikakati Mbalimbali Ya Kujenga Miundombinu Ya Barabara Kwa Lengo La Kuwaondoshea Wananchi Usumbufu Wa Kufata Huduma Muhimu Umbali Mrefu. Katibu Mkuu Wizara Ya Ujenzi Mawasiliano Na Uchukuzi Dkt Habiba Hassan Omar Amesema Barabara Hizo Ni Sehemu Ya Utekelezaji Wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Na Dira Ya Maendeleo Kupitia Sera Ya Usafiri Ambazo Zinatarajiwa Kugharimu Dola Za Kimarekani Million 3 Laki Sita Arobaini Na Tatu Laki Moja, Hadi Kukamilika Kwake . Akitoa Salamu Za Mkoa Kwa Niaba Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Mjini Magharib Mkuu Wa Wilaya Ya Mjini Hamid Seif Said Amesema Serikali Inaendelea Kuyaenzi Mapinduzi Kwa Lengo La Kupata Maendeleo Zaidi Na Kuahidi Kutathmini Jitihada Zinazofanywa Na Viongozi.

Image

ANUANI YA MAAKAZI (POSTCODE)

+

28-02-2022 06:02:12

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Eng Zena Said anwani ya ofisi ya Rais Ikulu wakati wa kikao kazi na uzinduzi wa operesheni ya anwani za makazi, Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Abdul Wakil, Zanzibar katikati anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolijia ya Habari, Mhe Nape Nnauye.


Matangazo Matukio
Fungua zote

UFUNGUZI WA MIRADI YA BARABARA

29-01-2025 11:01:52

Ufunguzi wa miradi ya barabara

29-01-2025 11:01:18


Vambatanisho

Muhtasari Muda Dokezo
Hotuba ya Bajeti ya Wizara 2023-2024 05-06-2023 07:06:52 Pakua
Sera ya TEHAMA Zanzibar 02-12-2021 08:12:45 Pakua