Mradi wa BIG-Z unalenga kuboresha miundombinu, huduma za msingi, mazingira ya miji, usafiri salama, uchumi wa wananchi na uwezo wa taasisi katika kusimamia maendeleo ya Zanzibar.
Mradi huu unaweka mkazo katika kuboresha maisha ya wananchi kupitia huduma bora, miundombinu imara, miji salama, uchumi wa jamii na matumizi ya teknolojia katika utawala.
Mifereji ya maji, barabara, taa za jua, maeneo ya umma na huduma za jamii.
Usafiri salama, njia za watembea kwa miguu na maboresho ya maeneo ya mijini.
Masoko, biashara ndogo, utalii, mafunzo na fursa za ajira kwa wananchi.
Mipango miji, GIS, municipal finance, building code na mifumo ya kidigitali.
Upgrading ya maeneo ya mijini, mifereji, barabara, public spaces, lighting na huduma za msingi.
Kuimarisha taasisi, matumizi ya teknolojia, GIS, spatial data na planning tools.
Usimamizi, ufuatiliaji, tathmini, procurement, financial management na reporting.
Sehemu ya kukabiliana na dharura kama mafuriko na madhara ya majanga.
Video ya utambulisho na utekelezaji wa miradi ya BIG-Z Zanzibar.
Sehemu hii inaonesha video rasmi ya mradi, mahojiano, taarifa za maendeleo au video za shughuli za utekelezaji.
Maandalizi ya kujengwa kwa round about ya KARIAKOO, wakandarasi wakiwa katika kazi ya kusa...
Muonekano wa round about ikiwa katika matayarisho wa utengenezaji
BIG-Z inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma bora, kupunguza changamoto za mafuriko, kuboresha maeneo ya umma, kuongeza fursa za kiuchumi na kuimarisha utawala wa miji.
Miradi itaonekana hapa baada ya kuongezwa kwenye admin.